SiasaKimataifa30.07.2002 - Taarifa ya Habari ya AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaV2 / S12S30.07.202030 Julai 2020Spika wa Bunge la Marekani ametangaza amri inayowataka wabunge wote kuvaa barakoa. Rais wa zamani wa Tanzania aliyefariki wiki iliyopita amezikwa katika kijiji alikozaliwa. Rais wa Belarus ameituhumu Urusi kwa kuratibu njama za kuvuruga uchaguzi. https://p.dw.com/p/3g8o2Matangazo