Yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika ni pamoja na kuuliwa kwa kamanda wa jeshi la mgambo la waasi wa Kihutu, (FDLR) Sylvestre Mudacumura huko nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Zainab Aziz na Josephat Charo wanayaangazia hayo.