Hali ya kisiasa nchini Tanzania, mazishi ya mtangazaji mwenzetu Marehemu Isaac Gamba, kurejea mjini Juba kwa aliyekuwa kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar na maandalizi ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ni miongoni mwa mada zilizogongwa vichwa vya habari Afrika. Sikiliza makala hii ya Afrika Wiki kujikumbusha.