1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya – Kipindi 1 – Chakula chenye afya

16 Machi 2011

Steve, Manuel, Hassan, Simo na Jimmy wanaishi katika bweni mjini. Vijijini kwao hakuna shule. Kuishi mbali na wazazi kunaweza kuwa kugumu. Chakula na maji yasiyo salama ni tatizo kwao.

https://p.dw.com/p/QpL1