Afya – Kipindi 2 – Takataka16.03.201116 Machi 2011Marafiki hao watano wanapingana juu ya usafi wa nyumba yao, kitu ambacho ni muhimu kwa afya. Tutawapatia ushauri kuhakikisha kuwa nyumba inakuwa na mazingira safi kwa ajili ya afya ya mwili wako.https://p.dw.com/p/QpMiMatangazo