1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya – Kipindi 3 – Nyezo za usafi

16 Machi 2011

Katika kipindi hiki, Steve na rafiki zake wanamhoji mama mwenye nyumba wanayoishi kuhusu hali mbaya ya choo na sehemu ya kuogea. Mama huyo amekwenda kuchukua kodi. Tutaangalia ni kwa jinsi gani choo kinahusiana na afya.

https://p.dw.com/p/QpNC