Afya – Kipindi 4 – Usafi binafsi16.03.201116 Machi 2011Soksi zimesababisha mjadala mkubwa miongoni mwa vijana hao watano wa bweni la Mandela kuhusiana na usafi binafsi. Kuishi mbali na wazazi kwaweza kusababisha uchafu. Hasa linapokuja suala la kufua nguo na kuoga.https://p.dw.com/p/QpNFMatangazo