Ajali ya Meli kwenye mto Ubangi kaskazini magharibi mwa DRC
25 Julai 2008Matangazo
Meli hiyo iliokuwa ikitokea nchini Afrika ya kati ilikuwa na abiria 182 raia wa DRC na wa Jamhuri ya Afrika ya kati.Ajali hiyo inatokea siku mbili baada ya nyingine iliotokea kwenye ziwa Tanganyika mashariki mwa DRC.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.