Annalena Charlotte Alma Baerbock ni mwanasiasa wa Ujerumani kutoka chama cha watetezi wa mazingira cha Kijani. Aliteuliwa kuwa waziri wa Mambo ya Nje Desemba 2021.