You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Asia
Bara kubwa kabisa na lenye watu wengi zaidi duniani, likiwa na kiasi cha wakaazi bilioni 4.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Idadi ndogo ya Watoto kuimarisha Uchumi
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu duniani limesema kuwepo kwa idadi ndogo ya watoto kutasababisha maajabu ya kiuchumi katika mataifa ya Kusini mwa jangwa la Sahara
Steinmeier ziarani Asia
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, analitembelea bara la Asia. Huko amekutana na viongozi wa Korea Kusini kujadili uwezekano wa nchi hiyo kuungana tena na Korea Kaskazini.
Putin akutana na Poroshenko
Rais Vladimir Putin wa Urusi amekutana na mwenzake wa Ukraine, Petro Poroshenko, kujadiliana mzozo kati ya nchi zao, lakini Kremlin ikisema ni mazungumzo yaliyojaa utata na suintafahamu.
Merkel ataka mazungumzo na Urusi yaendelee
Viongozi wa Ulaya na Asia wanakutana mjini Milan, huku mgogoro wa Ukraine ukitawala ajenda na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani akisema vikwazo ilivyowekewa Urusi havikatazi pande hizo kujadiliana.
China yaionya Marekani kuhusu usalama wa Asia
Rais Xi Jinping wa China ameionya Marekani na nchi nyengine kuhusiana na suala la usalama wa Asia na kutowa wito wa kuundwa kwa ushirikiano mpya wa usalama barani Asia utakaojumuisha Urusi na Iran na kutoingiza Marekani.
Maoni ya wahariri juu ya Mshariki ya Kati na ziara ya Obama barani Asia
Wahariri wanazungumzia Mashariki ya kati, ziara ya Rais Obama barani Asia na ziara ya Waziri Steinmeier katika nchi za Ulaya Mashariki katika muktadha wa mgogoro wa nchini Ukraine.
Rais Barack Obama ziarani Asia na Pacific
Rais Barack Obama wa Marekani anaanza ziara rasmi barani Asia kuanzia kesho,itakayomfikisha Japan,Corea ya kusini,Malaysia na Philippines.Lengo ni kutuliza hofu za washirika wake kuelekea China
Maoni juu ya mkutano wa viongozi wa Afrika na wa Ulaya
Mkutano wa kilele baina ya viongozi wa Afrika na wa Umoja wa Ulaya umemalizika mjini Brussels.Pamoja na mambo mengine viongozi hao waliyajadili masuala ya usalama, uchumi na biashara.
Tishio la kigaidi katika mataifa ya Kiarabu na Asia
Marekani imefanya mkutano wa maafisa wa ngazi ya juu kufuatia wasiwasi wa kutokea vitendo vya kigaidi, ambavyo vimesababisha serikali ya taifa hilo kutoa tahadhari ya kusafiri na kuamuru kufungwa kwa balozi zake.
Maoni ya wahariri juu ya J.Kerry
Wahariri wanatoa maoni yao juu ya siasa ya mambo ya nje ya Marekani,kwa usemi mwingine juu ya ziara ya Waziri wa mambo ya nje wa Marekani,John Kerry,ambaye jana alikuwa hapa nchini Ujerumani.
Maoni ya wahariri juu ya ukosefu wa ajira barani Ulaya
Wahariri wanaizungumzia ripoti juu ya hali ya kijamii barani Ulaya na pia wanatoa maoni juu ya mazingira ya Wakristo katika mabara ya Afrika na Asia
Obama ahudhuria mkutano wa nchi za Asia Mashariki
Rais wa Marekani Barack Obama amekutana leo (20.11.2012) na waziri mkuu wa China anayeondoka madarakani, Wen Jiabao, kandoni mwa mkutano wa kilele wa mataifa ya Asia Mashariki, unaonza leo Phnom Penh, Cambodia.
Misukosuko katika masoko ya hisa Marekani, Ulaya na Asia
Thamani katika masoko ya hisa ya Ulaya zimeporomoka kwa mara nyengine tena hii leo, zikishawishiwa na hali namna ilivyo katika masoko ya hisa barani Asia na katika masoko ya hisa ya Marekani huko Wallstreet.
Obama atavuna nini Asia?
Siku mbili tu baada ya chama chake cha Democrat kuangushwa katika uchaguzi wa Baraza la Congress, Rais Barack Obama wa Marekani anapanda ndege kuelekea Asia, kituo chake cha mwanzo kikiwa ni India. Anafuata nini?
Kansela Merkel akamilisha ziara ya bara la Asia
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amekamilisha ziara yake ya wiki moja ambapo ametia saini makubaliano kadha na maafisa wa mataifa ya bara la Asia.
Hatari ya kutokea mfumko wa bei kanda ya Asia
Nchi zinazoinukia kiuchumi barani Asia, zimeonywa na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF dhidi ya hatari ya kutokea mfumko wa bei katika kanda inayovutia wawekezaji kwa wingi.
Rais wa Ujerumani ziarani barani Asia
Rais wa Ujerumani Horst Köhler akifuatana na tume ya wanabiashara waandamizi ameondoka Berlin leo hii kwa ziara ya siku saba nchini India na baadae ataelekea Korea ya Kusini.
Waziri wa nje wa Marekani aendelea na ziara yake barani Asia
Marekani na Japan wakubaliana wanajeshi 8000 wa Marekani wahamishiwe Guam kutoka Okinawa
Asia na Ulaya wakubaliana kuuchunguza mfumo wa fedha duniani
Viongozi wa nchi 43 kutoka Asia na Ulaya wamekamilisha mkutano wao wakikubaliana kufanya mageuzi katika mfumo wa fedha duniani.
Mkutano wa Beijing.
Viongozi wa nchi za Ulaya na Asia waahidi mageuzi katika mfumo wa fedha duniani.
Mkutano wa Asia a na Ulaya.
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel awasili China kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za Ulaya na Asia.
Mkutano wa mataifa ya umoja wa Ulaya na Asia kuanza leo.
Viongozi wa mataifa 45 ya Asia na Ulaya wanakutana leo katika mkutano wao wa siku mbili katika mji mkuu wa China , Beijing.
Bei za Hisa Ulaya na Asia zashuka Ijumaa
Je! Mara hii baraza la wawakilishi la Marekani litapiga kura ya ndio?
Viongozi wa kusini mwa Asia wanuwia kuimarisha ushirikiano.
Kufuatia kupanda bei ya mchele, bara la Asia kukabiliwa na njaa.
Ongezeko la bei za vyakula katika nchi mbalimbali barani Asia limeendelea kuwa kubwa zaidi.
Benki kuu ya dunia yazitaka nchi za Asia kupunguza mzigo wa ughali wa maisha kwa watu wake.
Waziri Steinmeier akamilisha ziara ya Asia ya Kusini-Mashariki
Asia yaadhimisha maafa ya Tsinami.
BANGKOK:Ibrahim Gambari ziarani Asia mashariki
YANGON : Gambari arudi tena Asia
Mkutano wa uchumi wa Ujerumani na Asia Pazifik
Huu ni mkutano wapili kufanyika huko Seoul.Biashara na eneo hilo inazidi kustawi huku Asia ikizidi kuwa gurudumu la ukuaji uchumi ulimwenguni.
Viongozi wa Asia-Pacifik kuzuia uchafuzi wa hewa
SYDNEY: Bush ahimiza demokrasia katika nchi za Asia
BERLIN: Kansela Merkel akamilisha ziara ya Bara Asia
Kansela Angela Merkel amemaliza ziara yake katika Bara la Asia
Kansela Angela Merkel, akiwa amemaliza ziara yake huko Uchina na Japan, amezitaka nchi zenye chumi zenye kuibuka ziweke malengo wazi ya kupunguza moshi mchafu hewani ili kuzuwia ujoto duniani. Pia amesema anataka kupendekeza kwa nchi zinazoendelea suluhu ya mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa, lakini alionya kwamba mashauriano yatakuwa magumu.
TOKYO: Kansela Merkel akamilisha ziara ya Bara Asia
Kikao cha Amerika Kusini na Asia Mashariki chataka kukamilishwa kwa Duru ya Doha.
Mawaziri wa mambo ya nje na wajumbe kutoka nchi 33 za Amerika ya Kusini na Asia ya Mashariki wametowa wito wa kukamilishwa kwa haraka mazungumzo ya Shirika la Biashara Duniani WTO ya Duru ya Doha kufuatia mkutano wao wa siku mbili uliofanyika katika mji mkuu wa Brazil Brasilia.
Mafuriko yaleta hatari ya kusambaa kwa magonjwa Asia ya kusini.
Mvua za majira ya Monsoon zimenyesha kwa wingi sana katika maeneo mengine mapya ya India, na eneo la Asia na kusababisha mafuriko katika vijiji kadha upande wa magharibi, na pia nchini Philippines na Korea ya kusini, wakati wafanyakazi wa huduma za afya wanafanya haraka kuweza kufikisha chakula na madawa katika maeneo hayo ili kuepusha magonjwa katika maeneo ya mafuriko.
NEW DELHI: Mamilioni watengwa kwa mafuriko kusini mwa Asia
NEW DELHI: Mafuriko yameathiri mamilioni kusini mwa Asia
NEW DELHI : Mafuriko yaathiri mamilioni Asia Kusini
BANGLADESH:Mamilioni waathirika na mafuriko Asia
NEW DELHI:Vifo vyaongezeka kwenye mafuriko Asia Kusini
Iraq ni mabingwa wa Kombe la Asia
Iraq jana ilitawazwa kwa mara ya kwanza mabingwa wa kombe la Asia baada ya kuizaba saudi Arabia katika finali bao 1:0.Ikawa shangwe na shamra,shamra kuanzia baghdad,Basra,kirkuk hadi Ulaya.
Irak yanyakua Kombe la Asia
Irak imeshinda Kombe la Asia,baada ya kuikandika Saudi Arabia mkwaju mmoja kwa bila katika fainali iliyochezwa mji mkuu wa Indonesia,Jakarta.
Copa America laendelea-Kombe la Asia laanza:
Kombe la Asia laanza jumamosi hii mjini Bangkok,Thailand. Argentina yatamba katika Copa America.
Mkutano wa ASEM kati ya Asia na Umoja wa Ulaya
Mada nyengine iliohaririwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani ilikua alama za kuzitambulisha bidhaa.
Ulaya na Asia yazungumza
Katika mkakati wao wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi za Umoja wa Ulaya na za bara la Asia, leo kunaanza mkutano wa mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi za mabara haya mawili mjini Hamburg. Ikiwa ni wiki moja kabla ya mkutano wa nchi za G8 ambao pia unafanyika hapa Ujerumani, wanaharakati wanaopinga utandawazi wanayachukulia mazungumzo haya ya ASEM kama majaribio kuandamana.
BERLIN: Nchi za Asia zakosolewa kwa ukiukaji wa haki za binadamu
SHANGHAI : Rais Köhler amaliza ziara Asia
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 5
Ukurasa unaofuatia