Rais wa Marekani, Donald Trump na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron wamejadiliana kuhusu Syria // Vikosi vya usalama vya Gabon vimewaua wanajeshi wawili wanaotuhumiwa kufanya jaribio la mapinduzi hapo jana // Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un anaizuru China, baada ya kualikwa na Rais wa nchi hiyo, Xi Jinping