1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JangaKenya

Awamu nyingine ya ufukuaji miili msitu wa Shakahola -Kenya

Hawa Bihoga
27 Machi 2024

Wizara ya Mambo ya Ndani nchini kenya imsema, baadhi ya miili iliyofukuliwa msituni shakahola ambayo bado haijatambuliwa na familia zao itazikwa kwenye kaburi moja katika shamba la Chakama ambapo pia kumbukumbu itajengwa kuukumbuka mkasa huo wa kikatili.

https://p.dw.com/p/4eCO3
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio