Baada ya uchaguzi wa Novemba 28, Kongo yaelekea wapi?
17 Desemba 2011Matangazo
Othman Miraji anawakusanya wataalamu na wachambuzi wa siasa za Afrika mbele ya Meza ya Duara ya Deutsche Welle kujadiliana juu ya hatima ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutangazwa tena kuwa mshindi wa uchaguzi kwa rais wa sasa, Joseph Kabila Kabange.