You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: Bistum Münster
Picha: Bistum Münster
Bado Tupo: Maisha ya wazee
Jifunze mengi kuhusu maisha ya wazee
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Asilimia 50 ya wazee Tanzania bado ni walezi wa watoto
Hali inayowalazimisha kuendelea kufanya shughuli za kiuchumi badala ya kupumzika.
Wazee Tanzania walalamika kudharauliwa huduma za afya
Sera ya mwaka 2007 ilifunguwa fursa za huduma kwa wazee wasiojiweza lakini uhalisia ni tafauti kwenye utekelezaji.
Putin apandisha umri wa Warusi kustaafu
Wakati raia wa Urusi wakiungana na ulimwengu mzima kufuatilia Kombe la Dunia 2018 linaloendelea nchini mwao, serikali iliitumia fursa hiyo kutangaza mageuzi katika sera ya pensheni, ambapo umri wa kustaafu umeongezwa kwa miaka minane upande wa wanawake, na miaka mitano kwa wanaume. Ni mageuzi ambayo yaliwachukiza wafanyakazi, wakiamini kwamba wengi wao watakufa bila kufaidi akiba waliyojiwekea.
Kustaafu si mwisho wa maisha
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo, Fathiya Omar anatazama wanawake wastaafu na maendeleo yao. Utaweza kuelewa mengi kuwahusu na mchango wao katika jamii, ikiwa ni pamoja na changamoto zao, kuonyesha kwamba kuna maisha baada ya kustaafu.
Dhuluma dhidi ya wazee Kenya
Wazee wengi huteswa na kudhulumiwa kwani hawawezi kujikumu wala kujitetea. Serikali ya Kenya kila mwezi inawapa wazee kiasi fulani cha fedha ili waweze kujikimu kimaisha. Makala Yetu Leo inaangazia changamoto za rika hili na mikakati ya kuwatunza wazee hao.
Hata wazee wanaweza kujifunza!
Wastaafu nchini Uingeraza wanarudi chuo kikuu kama sehemu ya mapinduzi ya elimu. Kozi zinazotolewa ni pamoja na kucheza, kujifunza lugha na kuimba. Mpango huo unawasaidia wazee kuingiliana na wenzao katika taasisi moja. Chuo cha Third Age kama kinavyojulikana sasa kina wanachama 385,000
Makampuni ya kuhudumia wazee yakumbwa na kashfa Ujerumani
Makundi ya kutetea haki za wagonjwa yanasema serikali inauchukulia kwa wepesi uhalifu wa kupangwa
Wanawaeka Korea Kusini wanaweza kuvuka miaka 90
Wanawaeka Korea Kusini wanaweza kuvuka miaka 90
Ndugu wawili wakutana baada ya miaka 40
Ndugu wawili wa kuzaliwa wakutana katika kituo cha kuwatunza wazee, baada ya kupoteana kwa zaidi ya miaka 40
Nafasi ya wazee katika jamii
Salma Said amewatembelea wazee Zanzibar kufahamu zaidi kuhusu maisha yao na changamoto wanazokutana nazo siku kwa siku.
Wazee wasiojiweza wa Kenya kupokea fedha za usaidizi
Rais Kenyatta azindua mpango wa kuwasaidia wazee
Mizozo na Utatuzi - Palipo na Wazee
Hata katika karne ya 21, migogoro inaonekana kuwa jambo lisiloepukika duniani kote. Migogoro inaweza kusuluhishwa kwa njia ya amani kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika wenye mbinu nyingi za kutafuta suluhu.
Wanaume wa Afrika wanavyobadili imani
Ingawa baadhi ya mila za Kiafrika zinataka mwanaume awe na watoto wengi na wa kiume kama mrithi, wanaume wa Afrika wameanza kubadilika kwa kuachana na mila hizo baada ya kutambua umuhimu wa uzazi wa majira.
Wazee wa Mau Mau kuishtaki serikali ya Uingereza
Mahakama nchini Uingereza imepitisha uamuzi kwamba wazee watatu wa Kenya walioteswa na utawala wa Uingereza katika miaka ya 1950 wanaweza kuendeleza madai yao dhidi ya serikali ya Uingereza.
Kenya: Wazee wa wamijikenda waandamana
Nchini Kenya, wazee kutoka jamii ya Wamijikenda, leo (02.10.2012) wameandamana Mjini Mombasa kuishinikiza serikali kulishughulikia kwa haraka suala la kudumishwa amani na umiliki wa ardhi katika Mkoa wa Pwani.
Rwanda: Mamlaka ya Magereza yaitaka serikali iwaachie wafungwa wazee
Mamlaka ya magereza nchini Rwanda yameitaka serikali ya nchi hiyo kuwaachia wafungwa zaidi ya 2000 ambao wanakabiliwa na tatizo la uzee linalowasababishia kupoteza maisha yao kutokana na maradhi.
Ujumbe wa Noel kutoka rais wa Ujerumani-vijana na wazee mheshimiane
MOSCOW : Moto wauwawa 28 kwenye nyumba ya wazee
Wazee wa msichana alietoweka warudi Uingereza
Wazee wa McCann warudi Uingereza
KABUL: Musharraf ahudhuria kikao cha mwisho cha wazee wa kikabila
HALLE: Wazee 13 wamefariki katika ajali ya basi
MAGDEBURG :wazee 13 wamekufa katika ajali ya basi
Mogadishu:Gedi afanya mazungumzo na wazee wa koo.
BUECHENBACH : Wazee wa Ujerumani waupanda Mlima Kilimanjaro
SANTA MARIA: Wazee wa mahakama kuamua iwapo Jackson ana hatia au la
Santa Maria, Califonia. Kesi ya Michael Jackson sasa kujadiliwa na wazee wa baraza na kutolewa hukumu hivi karibuni.
Maadhimisho ya siku ya wazee ya kimataifa
Taasisi maalum ya umoja wa mataifa imetangaza ripoti mpya kuhusu hali ya maisha ya raia wanaoingia katika umri wa uzeeni duniani ambao unaonyesha kwamba idadi ya watu wazima inazidi kupanda hasa katika nchi zilizo tajiri. Utafiti muhimu kwa huduma za maisha ya kijamii duniani.
MKUTANO KATI YA CHAMA-TAWALA SPD NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYIKAZI-BIMA YA KUWATUNZA WAZEE NDIO MADA KUU ZILIZOCHAMBULIWA NA WAHARIRIRI WA MAGAZETI YA LEO YA UJERUMANI:
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 2
Ukurasa unaofuatia