Baraza la Usalama la UN lakataa ombi la DRC
19 Aprili 2016Matangazo
Katika mahojiano ya Kinagaubaga Mohammed Dahman anazungumza na mbunge wa taifa wa upinzani wa Uvira jimbo la kivu kusini mashariki mwa Congo Justin Bitakwira ambaye anaiunga mkono serikali kushinikiza kuondolewa kwa kikosi cha MONUSCO. Kusiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha alama za kusikilizia hapo chini.