Bashir atemebelea Burundi05.11.20075 Novemba 2007Rais wa Sudan Omar al Bashir amekamilisha ziara ya siku tatu nchini Burundi ambako alitembelea mitaa mbalimbali ya mji wa Bujumbura.https://p.dw.com/p/C7fMMatangazoHii ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo wa Sudan kufanya ziara nchini humo. Ziara hiyo ililenga kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.