1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern wateteleka, timu za Manchester zatamba

27 Februari 2018

Bayern Munich waliteteleka kidogo katika harakati zao za kulinyakua kwa mara nyengine taji la Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga baada ya kuzuiwa sare ya kutofungana na Hertha Berlin.

https://p.dw.com/p/2tQXu