Mbio za ubingwa wa Bundesliga zapamba moto. Bayern yaonja kichapo cha kwanza msimu huu huku Leverkusen ikipunguza pengo hadi pointi nne. //Jahazi la Manchester City lazidi kuzama huku kocha Pep akikiri kuwa hana mwarubaini wa matatizo yanayowakabili
Simba yanguruma katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini italazimika kugharamia uharibifu uliotokea kwa Mkapa