Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imesema makamu wa rais wa zamani, Jean Pierre Bemba anaweza kurejea nyumbani iwapo atataka kufanya hivyo, baada ya kuachiliwa huru kufuatia rufaa yake dhidi ya mashitaka ya uhalifu wa kivita. Sudi Mnette alizungumza mwanasisasa wa upinzani mjini Kinshasa, Valentin Mubake, sikiliza mahojiano.