1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariBenin

Benin: Ifahamu imani ya Voodoo kutoka Ouidah

Hawa Bihoga
10 Januari 2024

Kusini mwa Benin kuna adhimishwa sikuu ya Voodoo kila Januari 10, sherehe hizi za kipekee ni zaidi ya maombi, ngoma za asili na hata nyimbo kutokana na kuwavutia watu kutoka maeneo tofauti ikiwemo wenyeji na hata watalii. Waumini wa imani hii wanasema imekuwa ikirithishwa kizazi hadi kizazi na wamepata manufaa makubwa.

https://p.dw.com/p/4b4a1