You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Benjamin Kasembe
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Benjamin Kasembe
Taarifa na Benjamin Kasembe
Jeshi la Kongo lamkamata mwanajeshi wa Rwanda
Jeshi la Kongo lamkamata mwanajeshi wa Rwanda
Askari huyo aliyekamatwa alithibitisha uwepo wao kwenye ardhi ya Kongo kuwasaidia waasi wa M23 wanaopigana na serikali.
Maelfu wakimbia mapigano kati ya jeshi na M23
Maelfu wakimbia mapigano kati ya jeshi na M23
Mapigano yameendelea kuripotiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya jeshij la serikali na waasi wa M2
M23 waukamata tena mji wa Kalembe mashariki ya Kongo
M23 waukamata tena mji wa Kalembe mashariki ya Kongo
Wapiganaji wa M23 wameonekana wakishika doria kwenye mji huo muhimu wilayani Walikale vimeeleza vya ndani.
M23 wanapambana na Wazalendo kuudhibiti mji wa Kalembe
M23 wanapambana na Wazalendo kuudhibiti mji wa Kalembe
Ongezeko la machafuko katika mji huo, limewatia wasiwasi mkubwa raia pamoja na wanasiasa mkoani Kivu Kaskazini.
Kongo: Wanawake Goma wajitosa kwenye bodaboda
Kongo: Wanawake Goma wajitosa kwenye bodaboda
Wanawake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameamua kuchukua jukumu la kufanya kazi ambazo zilikuwa zikihodhiwa na wanaume. Hatua hii inachochewa na ukweli kwamba wengi wamekuwa wakilea familia peke yao lakini pia changamoto za kiusalama katika eneo hilo. Sasa hawana wasi tena wenyewe wanasema mwendo mdundo fursa bila kujali jinsia.
M23 waudhibiti mji muhimu wa Kalembe wilayani Masisi
M23 waudhibiti mji muhimu wa Kalembe wilayani Masisi
Mji huo ulioko umbali wa kilometa karibu 140 kutoka Goma ulichukuliwa na waasi wa M23 baada ya mapigano ya siku nzima.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo