1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Benki Kuu ya Dunia kutoa msaada wa ukarabati wa Barabara nchini DRC

5 Agosti 2008

Barabara muhimu kwenye majimbo ya Orientale,Kivu na Katanga mashariki mwa DRC zitakarabatiwa kutokana na msaada wa dola milioni 110 unaotolewa na benki kuu ya dunia na serikali ya Uingereza.

https://p.dw.com/p/Eqtz
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupatiwa msaada wa ukarabati wa BarabaraPicha: AP

Huo ni msaada wa kwanza kutolewa kwa DRC na Benki kuu ya dunia baada ya shirika hilo na lile la IMF kuitaka serikali ya Kongo kufafanua aina ya mkopo wake wa dola bilioni tisa kwa CHINA.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.