1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waafrika wauzwa kwa mnada kama watumwa huko Libya

23 Novemba 2017

Walimwengu washangaa na Libya inayodaiwa kuwa imegeuka soko la biashara ya mnada ya watumwa.Nchi hiyo inadaiwa kuwa na makundi ya watu wanaowauza wahamiaji wa kiafrika wakiwemo watoto wadogo kabisa.Tazama video hii ya DW.

https://p.dw.com/p/2o7jb