Wakaazi wa Bannyahe mjini Kigali wamelazimishwa kuondoka kwa nguvu baada ya kukataa kufanya hivyo kwa hiari yao kutokana na kushindwa kuelewana na serikali kuhusu fidia ili waweze kuondoka katika eneo hilo ambalo yanahitajika majengo bora kulingana na mpango wa ujenzi wa mji wa Kigali. Sikiliza ripoti ya Janvier Popote kutoka Kigali.