You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Sumaiyya: Malkia wa barabara Zanzibar
Je, unaweza kubadili fani yako ulioipenda katikati mwa kilele kufuata fursa ya fedha na utofauti? Mtazame Sumaiyya alieipa kisogo taaluma ya habari na mawasiliano kwa ajili tu ya kufata fursa na utofauti.
Mpango tata wa kupunguza ruzuku Uingereza wapitishwa
Waziri Mkuu wa Uingereza amevuka kihunzi baada ya wabunge kuunga mkono mpango wa kufuta ruzuku ya mafuta kwa wastaafu.
Ujerumani yaijaribu EU kwa kuongeza udhibiti mipakani
Udhibiti wa mipaka unatarajiwa kuanza wiki ijayo na kudumu kwa miezi sita, na tayari unatishia umoja wa Ulaya.
Blinken na Starmer kujadili namna ya kuisaidia Ukraine
Marekani na washirika wengine wa magharibi wanaangazia namna ya kuendelea kuisaidia Ukraine.
Blinken ziarani Uingereza kujadili mizozo ya Ukraine na Gaza
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken anafanya ziara nchini Uingereza.
EU, Marekani: Tutajibu ikiwa Iran inapeleka makombora Urusi
Umoja wa Ulaya umesema umepokea taarifa za kuaminika zinazoonesha kwamba Iran imeipatia Urusi makombora ya masafa.
EU yaitaka Venezuela kusitisha ukandamizaji wa upinzani
Marekani, EU na mataifa mengine yenye ushawishi yanamuona Gonzalez kama mshindi halali wa uchaguzi Venazuela.
Barnier aanza kukabiliana na vizingiti vya kuunda serikali
Barnier amevitaja vipaumbele vyake kuwa ni elimu, usalama na udhibiti wa uhamiaji.
Uingereza yasaini mkataba wa udhibiti wa Akili Mnemba
Mkataba huo utazishinikiza nchi kufuatilia maendeleo ya teknolojia ya akili mnemba na kuhakikisha na sheria kali.
Rais Macron amteua Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu mpya
Ufaransa ilikabiliwa na mkwamo wa kisiasa kwa miaezi kadhaa baada ya uchaguzi kushindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja.
Dunia inazalisha taka za plasitiki tani mil. 57 kila mwaka
Kulingana na utafiti huo, mji wa Lagos nchini Nigeria ndio ulizalisha taka nyingi za plastiki kuliko jiji lolote.
Joseph Borrell ashtushwa na mauaji ya mateka 6 wa Israel
Mkuu wa sera za nje wa EU Joseph Borrell ashtushwa na mauaji ya mateka 6 wa Israel
Mawaziri wa EU wajadili mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wajadiliana kuwafunza wanajeshi wa Ukraine, nchini humo badala ya mataifa mengine.
Ufaransa yaahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza
Rais wa wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza katika sekta ya ulinzi na usalama, pamoja
Uingereza yataka kurudisha mahusiano ya karibu na EU
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema anataka kuanzisha ukurasa mpya wa mahusiano na Umoja wa Ulaya.
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer yuko ziarani Berlin
Mahusiano ya Uingereza na jumuiya ya Umoja wa Ulaya yalipwaya baada ya mchakato wa Brexit wa kujiondoa muunganao huo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer azuru Ujerumani
Kiongozi huyo wa Uingereza baada ya mazungumzo yake mjini Berlin anatarajiwa kufanya ziara nchini Ufaransa.
Starmer afanya ziara Berlin kujadili mkataba na Ujerumani
aada ya Berlin, Starmer atasafiri kwenda Paris kukutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.
Wahamiaji zaidi waingia UK kwa boti
Wahamiaji 13,489 waliingia Uingereza kwa boti katika nusu ya kwanza ya mwaka huu.
Je, EU inapaswa kufikiria upya sera yake kuhusu Syria?
Sera ya Umoja wa Ulaya kuhusu Syria imeshindikana huku kundi kubwa la wahamiaji likisaka hifadhi kwa nchi wanachama.
Uingereza kuisaidia Kongo katika jitihada za kudhibiti mpox
Uingereza yaiahidi Kongo pauni milioni 3.1 katika jitihada za kudhibiti mpox.
Waliozama katika jahazi la kifahari Italia, bado wapo hai
Maafisa Italia wasema huenda waliozama katika jahazi la kifahari Italia, bado wapo hai
EU yazionya nchi zake zijiandae kwa wimbi la homa ya nyani
Shirika la afya la Umoja wa Ulaya limezitaka nchi wanachama wake zijiandae kwa uwezekano wa wagonjwa zaidi wa virusi vya
Wahusika wa siasa kali wafunguliwa mashtaka Uingereza
Polisi nchini Uingereza imewashtaki watu wawili – mwanamume mwenye umri wa miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa miaka 19
Polisi UK yakamata zaidi ya watu 1,000 kuhusiana na vurugu
Polisi nchini Uingereza imewakamata watu zaidi ya 1,000 kuhusiana na fujo za wafuasi wa itikadi kali za mrengo wa kulia.
Iran yapuuza miito ya Ulaya ya kutoishambulia Israel
Nchi hizo tatu za Ulaya hapo jana, zilitoa taarifa ya pamoja ya kuitaka Iran na wandani wake kutoishambulia Israel.
Mataifa makubwa ya Ulaya yataka mapigano yasitishwe Gaza
Madola hayo ya Ulaya pia yanataka misaada ya kiutu ipelekwe bila vizingiti kwa wakaazi wa Gaza.
Vita vya Gaza basi, zasema Ujerumani, Ufaransa na Uingereza
Scholz, Macron na Starmer wasema hakuna taifa litakalofaidika kutokana na kuongezeka mivutano katika Mashariki ya Kati.
Waandamanaji wanaopinga ubaguzi wajitokeza barabarani London
Maandamano kama hayo ya kupinga ubaguzi wa rangi na uislamu pia yalifanyika siku ya Jumatano.
Mfalme Charles III azungumzia maandamano ya vurugu Uingereza
Mamia ya watu walikamatwa kufuatia maandamano hayo yaliyogeuka kuwa ya kupinga wahamiaji na waislamu.
Mfalme wa Uingereza akosolewa kwa kukimya juu ya machafuko
Mfalme wa Uingereza Charles III amekosolewa kwa kusalia kimya kuhusu vurugu za karibu kila siku zilizoshuhudiwa tangu mw
Polisi Uingereza katika hali ya tahadhari
Serikali ya Uingereza imesema inajiandaa kwa uwezekano wa kutokea machafuko zaidi licha ya kupongeza juhudi za polisi na
Uingereza yahofia machafuko zaidi
Mamlaka nchini Uingereza zinasema zinajiandaa kwa uwezekano wa machafuko zaidi.
Maelfu wajitokeza kuonyesha mshikamano na wahamiaji
Meya wa London amewashukuru waliojitokeza kuonyesha mshikamano dhidi ya ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya uislamu.
Maandamano ya vurugu Uingereza
Uingereza inakabiliwa na maandamano ya vurugu kufuatia mauaji ya wasichana watatu mnamo Julai 29 huko Southport. Washiwishi wa mitandaoni wenye mafungamano na itikadi za siasa kali za mrengo wa kulia walizagaza uvumi kuhusu mhusika wa mauaji hayo na kusema ni muislamu mwenye itikadi kali aliyewasili Uingereza hivi karibuni, na hivyo kuchochea chuki dhidi ya wahamiaji na waislamu nchini humo.
Mshikamano wa jamii wazima njama za wafanya fujo Uingereza
Polisi ya Uingereza imesema mshikamano wa jamii umezuia marudio ya vurugu kali zilizoshuhudiwa katika siku za karibuni.
Kwanini wageni wanalengwa katika vurugu za nchini Uingereza?
Bakari Ubena amezungumza na Ahmed Rajab mchambuzi wa kimataifa kujua chanzo cha vurugu dhidi ya wageni Uingereza.
Polisi Uingereza iko tayari kukabiliana na vurugu
Meya wa Mji wa London amesema serikali imeweka mikakati mipya ya kuhakikisha maeneo ya kuabudu inayolengwa inalindwa.
Maelfu ya polisi waandaliwa kukabili vurugu Uingereza
Maalfu ya polisi wa kuzuia fujo nchini Uingereza wamewekwa tayari endapo ghasia zaidi zitazuka.
Watu takribani 400 watiwa mbaroni katika ghasia za Uingereza
Serikali imesema kikosi maalum cha polisi wapatao 6,000 kiko tayari kukabiliana na machafuko mabaya zaidi Uingereza.
Uingereza: Polisi 6,000 wako tayari kutuliza ghasia
Uingereza imesema maafisa maalumu 6,000 wa polisi wako tayari kukabiliana na vurugu.
Starmer kuunda 'jeshi la dharura' kukabiliana na vurugu
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema serikali yake itaunda “jeshi la dharura” kukabiliana na ghasia na vurugu.
Vurugu Uingereza: Waziri Mkuu awaonya wavunja sheria
Ghasia zinazohusishwa na mauaji ya watoto watatu mapema wiki hii zinaendelea kupamba moto kote nchini Uingereza.
Starmer aitisha mkutano wa dharura kujadili ghasia
Starmer anakutana na wakuu wa polisi nchini humo baada ya siku kadhaa za maandamano ya vurugu ya kupinga uhamiaji.
Waziri Mkuu Starmer aapa kuwawajibisha wahusika wa ghasia
Kizingiti hicho kinafuatia machafuko yanayohusishwa na mauaji ya watoto watatu mapema wiki hii yanazidi kupamba moto.
Polisi Uingereza waongeza ulinzi baada ya ghasia kuibuka
Vurumai hiyo inatajwa kuwa mtihani wa kwanza mkubwa kwa Waziri Mkuu Keir Starmer
Muhubiri ahukumiwa kifungo cha maisha jela Uingereza
Muhubiri ahukumiwa kifungo cha maisha jela Uingereza
Uingereza yawarai raia wake kuondoka Lebanon
Uingereza imewatolea mwito raia wake kuondoka Lebanon na kutosafiri kwenda nchini humo kutokana na wasiwasi wa vita.
EU yaongeza watu tisa katika orodha yake ya vikwazo
Hatua hiyo inawalenga makamanda kadhaa wa makundi kadhaa na muungano unaoitwa Muungano wa Mto Kongo.
Uingereza na Ujerumani kushirikiana zaidi katika ulinzi
Ujerumani na Uingereza zimeahidi kushirikiana kwa karibu zaidi katika sekta ya ulinzi na usalama kama sehemu ya serikali
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 46
Ukurasa unaofuatia