You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mazungumzo ya Brexit wajumbe bado hawajafikia makubaliano
Mazungumzo hayo kuhusu mustakabali wa kibiashara kati ya pande mbili hizo bado yanasuasua.
Bunge la DRC lamuondoa spika
Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limepiga kura ya kumuondoa spika wa bunge hilo, Jeanine Mabunda.
Maduro achukua udhibiti wa bunge Venezuela
Rais Maduro achukua udhibiti wa bunge, huku upinzani ukidai uchaguzi ulikumbwa na udanganyifu
Wabunge wa upinzani wajiuzulu Hong Kong
Wabunge 15 wanaotetea demokrasia Hong Kong wamejiuzulu
Maelfu waandamana Kyrgyzstan huku matokeo ya bunge yakifutwa
Maelfu ya wamevamia majengo ya serikali, na kumtorosha jela rais wa zamani
Bunge la Uingereza laridhia muswada tata wa Boris Johnson
Bunge la Uingereza laidhinisha muswada tata wa Waziri Mkuu Johnson
Von der Leyen ataka muungano wa afya Ulaya
Von der Leyen amezunguzia pia uhamiaji, mzozo kati ya Uturuki na Ugiriki, Brexit na haki za mashoga
Viongozi wa Ujerumani walaani jaribio la kuvamia bunge
Vikwazo hivyo vinavyojumuisha faini ya dola 59 kwa wale watakaopatikana hawajavaa barakoa ambazo ni lazima.
Kuvamia Reichstag:Shambulio la moyo wa demokrasia Ujerumani
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ashutumu watu waliovamia jengo la Bunge mjini Berlin
Wabunge wa Marekani waamriwa kuvaa barakoa
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ameamuru kuwa wabunge na wafanyakazi wote wa chombo hicho kuvaa barakoaa.
Uturuki yaidhinisha sheria ya mitandao yenye nguvu mpya
Sheria hizo inazitak pia kampuni za mitandao kuhifadhi mawasiliano ya watumiaji.
Wabunge 15 wa Zambia wakutwa na virusi vya corona
Wabunge 15 wa Zambia wakutwa na virusi vya corona
Trump na Seneti kujadili msaada wa kupambana na COVID-19
Viongozi wa Republican katika Bunge la Marekani kukutana na rais Donald Trump kujadili msaada wa kupambana na COVID-19
Kura zaendeelea kuhesabiwa uchaguzi wa bunge la Syria
Syria ilipiga kura ya kuchagua bunge jipya
Bunge lavunjwa Tanzania kuelekea uchaguzi 2020
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzana leo limevunjwa rasmi baada ya kudumu kwa miaka mitano na hivyo kupisha mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2020 kuanza.
Bunge la China lapitisha pendekezo la sheria ya usalama
Pendekezo hilo lililopigiwa kura bungeni linakuja saa chache baada ya Marekani kufuta hadhi maalumu kwa Hong kong
China yapitisha mpango wa sheria ya usalama mjini Hong Kong
Tangu kutangazwa kwa mpango huo, kumeibuka maandamano ya wapinzani wa serikali mjini Hong Kong na ukosoaji wa kimataifa.
Hatimaye serikali ya mseto yatangazwa Israel
Bunge la Israel limeiapisha serikali mpya ya muungano ya Benjamin Netanyahu na Benny Gantz.
Netanyahu aungwa mkono kuunda serikali
Hatua hiyo inafungua mlango wa makubaliano ya kugawana madaraka na hasimu wake aliyegeuka kuwa mshirika, Benny Gantz.
Bunge la Israeli sasa kuchagua waziri mkuu.
Hatua hii haikutarajiwa kutokea katika muda wa kipindi cha mwaka mmoja nchini humo.
Italia: Bunge laamua kumwondolea kinga Matteo Salvini
Hatua hiyo inatoa nafasi ya kufunguliwa mashtaka Salvini, na kesi hiyo inaweza kuvuruga safari yake ya kisiasa.
Baraza la Seneti Marekani lamwondolea hatia Trump
Baraza la Seneti Marekani lapiga kura kumuondolea hatia Rais Donald Trump katika mashitaka ya kutumia vibaya madaraka.
Kauli ya rais Tshisekedi yazusha mvutano DRC
Tamko la rais Felix Tshisekedi alilolitoa wakati wa ziara yake mjini London kwamba atalivunja bunge, limezusha malumbano
Rais wa Burundi kuondoka na kitita cha mamilioni
Bunge la Burundi limeidhinisha sheria inatakayompa rais mstaafu kitita cha faranga bilioni za Burundi.
Kesi ya kumshtaki Trump yaanza Baraza la Seneti
Ni marais watatu tu wa Marekani kuwahi kufunguliwa mashtaka ya kuondolewa madarakani.
Baraza la Seneti kusikiliza shauri dhidi ya Trump
Vifungu vya mashtaka yanayomkabili rais Donald Trump vitasomwa leo mbele ya Baraza la Seneti mjini Washington
Pelosi kutuma ibara za mashtaka kwa Seneti
Spika Nancy Pelosi amesema atawasilisha mbele ya Baraza la Seneti ibara za mashtaka dhidi ya Rais Donald Trump.
Iraq yataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo
Rais Trump ametishia kuiwekea Iraq vikwazo ikiwa hatua hiyo itatekelezwa.
Bunge la Uturuki laidhinisha utumaji wanajeshi Libya
Kuna wasiwasi kwamba vikosi hivyo vya Uturuki vitazidisha mzozo na kudhoofisha taifa hilo.
Netanyahu aomba kinga dhidi ya kesi ya rushwa
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameliomba bunge la nchi hiyo kumpatia kinga.
Waandamanaji wauawa nchini India
Waziri mkuu wa India Nerandra Modi amekutana na mawaziri kwa lengo la kuutathmini mswada wa sheria juu ya uraia.
Trump aendeleza ubabe baada ya Wawakilishi kumshitaki
Spika Pelosi aashiria mashaka yaliyopo kwenye sehemu iliyosalia ya kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Seneti.
Trump apigiwa kura kwa matumizi mabaya ya madaraka
Wabunge waridhia mashitaka ya Trump
Pelosi atoa idhini kutayarishwa mashtaka dhidi ya Trump
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ametoa ruhusa ya kutayarishwa kwa ibara za mashtaka dhidi ya rais Donald Trump
Bunge la Iraq lakubali uamuzi wa kujiuzulu waziri mkuu Mehdi
Bunge la Iraq lakubali uamuzi wa kujiuzulu waziri mkuu Mehdi
Malumbano yazuka, bunge la Ujerumani
Atetea umuhimu wa kuendelezwa serikali kuu ya muungano hadi muhula wake utakapokwisha na uchaguzi mkuu kuitishwa 2021.
Bunge la Ulaya laidhinisha Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya
Bunge la Ulaya laidhinisha Halmashauri Kuu mpya inayoongozwa na Ursula von der Leyen
Bolivia yawasilisha bungeni mapendekezo ya uchaguzi mpya
Rais wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez jana amewasilisha bungeni muswada wa sheria utakaowezesha kufanyika uchaguzi mkuu.
Bunge la Marekani lafungua njia kwa Trump kuchunguzwa
Hatua ya Bunge la Marekani kuidhinisha uchunguzi wa kumuondoa Trump haikuzingatia haki na ni kinyume na katiba.
Johnson kushinikiza tena uchaguzi Uingereza
Serikali ya Uingereza kupendekeza tena uchaguzi wa mapema bungeni, licha ya kushindwa Jumatatu.
Rais Trump kutoa tamko muhimu
Rais Donald Trump wa Marekani leo (27.10.2019) anatarajiwa kutoa tamko muhimu
Wabunge Uingereza wapiga kura kuchelewesha mpango wa Brexit
Wabunge wa Uingereza wanapiga kura kuchelewesha uamuzi wa mpango wa Brexit wa Waziri Mkuu Boris Johnson.
Maoni: Mchakato wa Brexit Je safari hii Bunge litauridhia?
Katika maoni yake mwandishi wetu wa DW Barbara Wesel anasema mivutano kuhusu Brexit bado ipo nchini Uingereza.
Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya
Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya Jumamosi
Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha yoyote nchini Uturuki
Suluhisho la Brexit bado kizungumkuti
Brexit kizungumkuti. Malkia alifungua bunge.
Wanadiplomasia wa Umoja wa UIaya wanasema bado hakuna dalili ya makubaliano kamili ya Brexit kufikiwa wiki hii.
Uingereza huenda ikaomba muda zaidi wa mchakato wa Brexit
Johnson huenda akaomba kuongezwa muda wa mchakato wa Brexit iwapo makubaliano hayatafikiwa hadi Octoba 19.
Wabunge wausasambua mpango wa brexcit wa Boris Johnson
Waziri mkuu Boris Johnson ashikilia msimamo wake wa kutaka kuiondowa Uingereza Umoja wa Ulaya Oktoba 31 kivyovyote vile.
Kuaga kwa Spika na mgogoro wa bunge
John Bercow alikuwa mlezi wa bunge la Uingereza, ambalo halijawahi kushambuliwa kama ilivyotokea chini ya Boris Johnson.
Serikali ya Uingereza yaahirisha bunge lake kwa wiki tano.
Uingereza imeahirisha vikao vyake vya bunge na kuwapa wabunge likizo ya wiki tano huku mzozo wa Brexit ukiendelea.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 14
Ukurasa unaofuatia