1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi: biashara ya wanawake imepwaya Ramadhani

Hamida Issa15 Juni 2016

Mwezi wa Ramadhani kwa kawaida huwapa wanawake wa Burundi fursa ya kujishughulisha na biashara ndogo ndogo. Lakini mwaka huu biashara imepwaya, huku thamani ya sarafu ya nchi ikiwa imeporomoka.

https://p.dw.com/p/1J6ts

Ungana na Amida Isaa kutoka Bujumbura, Burundi.