Bunge la Burundi lajadili kupokea jeshi la kulinda raia
Amina Mjahid6 Januari 2016
Deutsche Welle ilizungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Halidi Hassan na kwanza kumuuliza anaionaje hatua hiyo ya Umoja ya Afrika kutaka kupeleka kikosi cha wanajeshi 5000 ili kusimamia amani nchini Burundi?