Burundi: Maiti zilizopatikana Ziwa Rweru zilitoka Rwanda
17 Oktoba 2014Matangazo
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Rwanda akiwa pia msemaji wa serikali ya nchi hiyo amesema taarifa hizo ni uzushi kwa sababu maiti hizo zilipatikana na kuzikwa kwenye ardhi ya Burundi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sylivanus Karemera
Mhariri: Saumu Yusuf