1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi: Mwanaharakati Faustin Ndikumana akamatwa

8 Februari 2012

Nchini Burundi Faustin Ndikumana mwanaharakati wa shirika linaloagiza wananchi kubadili mwenendo katika kukabiliana na maswala tete, kama rushwa, amefungwa jela.

https://p.dw.com/p/13zFu
Bujumbura mji mkuu wa BurundiPicha: cc-by-sa_Steve Rwanda

Bw.Ndikumana alituhumiwa kubaini kuwa wizara ya sheria imekuwa ikiathiriwa na rushwa. Muda mfupi kabla ya kupelekwa jela, Bwana Ndikumana alisema ni radhi kufungwa kwa kutetea maslahi ya wananchi.

Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Burundi na taarifa kamili.

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi