CENI yaendelea kuhesabu kura za wabunge Kongo
28 Desemba 2011Matangazo
Uchaguzi huu ulifanyika sambamsa na ule wa urais tarehe 28 Novemba, lakini tofauti kubwa zilitokea baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa bunge ambayo yalipingwa na wagombea wengi. Mwandishi wetu wa Kinshasa, Saleh Mwanamilongo, ametutumia taarifa kutoka huko.
Ripoti: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Othman Miraji