1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha siasa nchini Afrika Kusini cha COPE chazinduliwa rasmi

16 Desemba 2008

Chama kipya cha siasa nchini Afrika Kusini cha Congress of the People (COPE), kilichojitenga na chama tawala cha African National Congress(ANC), kimezinduliwa rasmi.

https://p.dw.com/p/GH5c
Bw. Mosiuoa Lekota mwenyekiti wa chama cha COPEPicha: AP

Waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo Mosiuoa Lekota amechaguliwa kukiongoza chama hicho.

Grace Kabogo alizungumza na Abdalah Nzabonimpa, mtangazaji wa Channel Africa nchini Afrika Kusini, naye alianza kwa kumueleza ni kwa nini baadhi ya viongozi wa ANC waliamua kujitenga na chama hicho na kuanzisha chama kipya cha COPE: