1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto ya ndoa za utotoni Tanzania

22 Agosti 2018

Tanzania bado inakabiliwa na changamoto kubwa katika suala la ndoa za utotoni. Wasichana wanakosa elimu kwa kuozeshwa na wazazi wao wakati wakiwa na umri mdogo. Rebeca Gyumi ni mwanasheria na mwanaharakati anaepigania haki ya elimu kwa msichana na kupinga ndoa za utotoni. Msikilize hapa akieleza mapambano yako dhidi ya tatizo hilo hadi kufika Mahakama ya Katiba ya Tanzania.

https://p.dw.com/p/33bOA