1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za elimu ya bure DRC

5 Machi 2020

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanafunzi wa shule za msingi zinazomilikiwa na serikali wamekuwa wakikumbana na vikwazo vingi tangu serikali ilipoamua kutoa elimu ya bure.

https://p.dw.com/p/3Ytrq
Wanafunzi wakiwa darasani Congo
Picha: picture-alliance/H. Heine

FE: Unser Feature Heute 04/09.03.2020 DRC: Free learning education/Challenges - MP3-Stereo