1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi

Prosper Kwigize20 Juni 2018

Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani WHO, kila mwaka wanafariki wanawake 280,000 duniani kwa kuugua saratani ya kizazi. Wengi wao wanaishi kwenye nchi zenye uchumi wa wastani ama wa chini. Mwandishi wetu Prosper Kwigize katika makala ya Afya Yako anaripoti kuhusu kampeni ya kutoa chanjo kudhibiti saratani ya aina hiyo mkoani Kigoma, Tanzania.

https://p.dw.com/p/2zuHl