1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dawa za mitishamba zapendwa na wengi

Lubega Emmanuel25 Mei 2017

Kuongezeka kwa tiba asili ni ishara kwamba dawa aina ya mitishamba zinaendelea kupata wateja wengi. Lubega Emmanuel amezungumza na watengenezaji na wateja Uganda kufahamu zaidi kuhusu sekta hii. Msikilize katika makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/2dZNS