1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhulma dhidi ya wanawake kipindi cha corona

1 Oktoba 2020

Sikiliza makala haya ya mbiu ya mnyonge ambapo mwandishi wa DW fathiya Omar anaangazia dhulma dhidi ya wanawake katika kipindi cha janga la corona ambapo kumeripotiwa ongezeko la dhulma za aina hiyo.

https://p.dw.com/p/3jHXy