Mshindi wa Tuzo Mbadala ya Nobeli mwaka 2013,Dokta Denis Mukwege kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ametaka kuundwa kwa serikali ya mpito itakayokuwa ya wataalamu kutoka asasi za kiraia nchini humo,kabla ya uchaguzi wa taifa hilo wa Desemba mwaka huu. Zaidi msikilize wakati alipozungumza na Sudi Mnette wa DW.