1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Askari wa Umoja wa Mataifa auwawa

29 Agosti 2013

Habari kutoka eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo katika mkoa wa Kivu ya kaskazini zinasema askari mmoja wa kikosi cha kuingilia kati cha Umoja wa mataifa kutoka Tanzania, ameuwawa.

https://p.dw.com/p/19YMs
Hali si ya utulivu huko Goma
Hali si ya utulivu huko GomaPicha: Junior D. Kannah/AFP/Getty Images

Askari wengine watano wamejeruhiwa wakati wanajeshi wa serikali ya Kongo wakiungwa mkono na wale wa Umoja wa mataifa, walipokuwa wakipambana na waasi wa kundi la M23. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni. Kuskiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo