DRC: Baraza la usalama la umoja wa mataifa waongeza muda wa tume ya Monusco
28 Juni 2012Matangazo
Upinzani nchini humo hata hivyo umesema kwamba haina maana kwa jeshi hilo kuwepo huku hali ya usalama ikizidi kuzorota.
Jee wakaazi wa mashariki mwa Kongo ,eneo linalokabiliwa na vita wanamaoni gani kuhusu hatua hiyo ya Umoja wa mataifa ? Mratibu wa jumuiya za Kiraia Nchini humo Mustafa Mwiti kwanza anaelezea maoni yake juu ya kuwepo kwa jeshi la Umoja wa Mataifa.
(Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi : Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Abdulrahman.