DRC: Hali ya kiutu ya wafungwa na wakimbizi
24 Aprili 2013Matangazo
Akiwa ziarani kwa mara ya kwanza mjini Kinshasa, kiongozi wa shirika la ICRC amesema kuwa kuna umuhimu wa jamii ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuboresha usalama na amani nchini Kongo. Ziara hiyo itampeleka hadi mji wa Goma, jimbo la Kivu ya kaskazini ili kukadiria hali ya wakimbizi wa ndani zaidi la milioni moja. Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Josephat Charo