1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Kabila aahidi uchaguzi kufanyika

5 Aprili 2017

Rais Joseph Kabila ameahidi kuteua Waziri Mkuu mpya kutoka upinzani mnamo masaa 48, ili kutekeleza mkataba wa kisiasa. Kwenye hotuba kwa taifa, Kabila ameahidi kufanyika uchaguzi mkuu japo hajataja tarehe.

https://p.dw.com/p/2akXv
Kongo Joseph Kabila
Picha: picture-alliance/AP Photo/J.Bompengo

Kabila ahutubia taifa - MP3-Stereo