1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Kasisi Jean-Marie Runiga asema si busara kuunda kikosi cha Umoja wa Afrika

16 Julai 2012

Mratibu wa bawa la kisiasa wa M23 Kasisi Jean-Marie Runiga amesema,si jambo la busara kuunda kikosi cha Umoja wa Afrika kwa ajili ya Kongo,badala yake yaheshimiwe makubaliano kati ya serikali na makundi ya waasi.

https://p.dw.com/p/15YJ8
Kikosi cha Jeshi la Umoja wa Afrika
Kikosi cha Jeshi la Umoja wa AfrikaPicha: AP

Mwandishi wetu Masahariki mwa Kongo John Kanyunyu alizungumza na Kasisi Runiga na kwanza alikuwa na haya ya kusema kuhusu kundi lao la M23 .

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed AbdulRahman