DRC: Katumbi mgombea wa urais wa upinzaniElizabeth Shoo05.05.20165 Mei 2016Katumbi anaunga mkono pendekezo la kuweko na mgombea mmoja tu wa upinzani. Wakati huo huo, waziri wa sheria ametangaza kufunguliwa uchunguzi kuhusu tuhuma za kuweko mamluki walioajiriwa na Katumbi.https://p.dw.com/p/1IiclPicha: Getty Images/F. ScoppaMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio