Serikali ya Kongo imetangaza kuanzishwa kwa operesheni ya pamoja baina ya jeshi na kikosi cha Umoja wa Mataifa Monusco, dhidi ya waasi wa Uganda wa ADF mjini Beni jimboni Kivu ya Kaskazini. Taarifa hiyo imefuatia mandamano ya raia wa Beni jwalioteketeza ofisi ya meya na kituo cha MONUSCO kufuatia mfululizo wa mashambulizi dhidi ya raia yanayofanywa na waasi wa ADF. Saleh Mwanamilongo anaripoti.