DRC: Kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa Kongo
9 Januari 2013Matangazo
Siku moja tu baada ya waasi wa M23 kutangaza kwamba wamesitisha vita kwa upande wao dhidi serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Nayo serikali imesema inasubiri utekelezaji wa hatua hiyo kwa vitendo katika maeneo husika huko mashariki mwa Kongo. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Kampala.
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri:Yusuf Saumu