DRC: Mapigano mapya yazuka tena mashariki mwa Kongo
4 Juni 2012Matangazo
Na wakati huo huo, chama cha zamani cha uasi CNDP, kimetangaza
kujiondoa katika muungano wa vyama vinavyomuunga mkono rais wa DRC
Joseph Kabila.
Mwandishi wetu John Kanyunyu aliyeko mashariki mwa DRC ametutumia
ripoti ifuatayo kutoka Goma.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohamed Abdulrahman