DRC: Mapigano yaendelea mashariki mwa Kongo
1 Juni 2012Matangazo
Wakati mapigano yakiendelea baina ya waasi wa M23 na jeshi la serikali katika Jamhuri ya demokrasia ya Congo, wakaazi wa kabila la watutsi wanaoishi katika mji mdogo wa Kitsanga wameanza kuyahama makaazi yao wakihofia hujuma zinazopangwa dhidi yao na waasi wa kihutu wa Rwanda wa FDLR walioko kwenye viunga vya mji huo
Mwandishi wetu mjini Goma John Kanyunyu ametutumia ripoti ifuatayo.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyuynu
Mhariri :Mohamed Abdul-Rahman