DRC: Matokeo ya Ubunge yatangazwa
27 Januari 2012Matangazo
Hata hivyo chama cha raïs Joseph Kabila cha PPRD kimepoteza nusu ya viti kwenye uchaguzi huu ikilinganishwa na uchaguzi wa 2006.Chama cha upinzani cha UDPS cha bwana Etienne Tshisekedi kimeonekana kuwa chama cha pili kwa wingi wa viti bungeni.
Tume ya uchaguzi imependekeza kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo 7 ya uchaguzi kutokana na kasoro na visa vya utumiaji nguvu wakati wa uchaguzi :
Mwandishi wetu mjini Kinshasa Salehe Mwana Milongo anaripoti mkamili
INSERT
Mwandishi: Salehe Wa Milongo
Mhariri: Abdul-Rahman,Mohammed