DRC: Mwanamuziki Koffi Olomidé ahukumiwa kifungo cha miezi mitatu
16 Agosti 2012Matangazo
Koffi Olomide alikamatwa hapo jana baada ya kumrushia ngumi na kumuumiza meneja wake wa muziki. Olomidé ambaye alijipatia sifa kutokana na muziki wa rumba,amewahuzunisha wakongo wengi kufuatia kitendo chake hicho. Saleh Mwanamilongo amekuwa akifuatilia tukio hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman